Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KAMA WEWE NI MZAZI AU MLEZI SOMA HABARI HII TAFADHALI

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Dondoo 10 muhimu sana kwa baba na mama
au kwa Wazazi watarajiwa wote, usipuuze habari hii ni muhimu sana kwenu.

1. Mkanye mtoto wako wa kike na
hata wa kiume kuhusu kukubali
kupakatwa hovyo, bila kujali ni nani
anampakata, hata kama ni mjomba
wake.

2. Usivue nguo mbele ya mwanao
pindi akifikisha miaka 2 au zaidi.
Jifunze kumwomba akupishe.

3. Usiruhusu mtu yoyote amwite
mwanao “Mchumba”, “Mke wangu”
au “Mme wangu”.

4. Kila wakati mwanao anapoenda
kucheza na wenzake, hakikisha
unafuatilia kujua wanacheza nini, siku
hizi hata watoto wanafundishana
michezo michafu na wengine wana
maambukizi.

5. Kama mwanao ameonyesha
kutopenda kwenda kwa mtu fulani
usimlazimishe, pia chunguza kwa
ukaribu ili kujua sababu.

6. Inashauriwa kupitia kwanza
mwenyewe movie yoyote kabla ya
kuruhusu mwanao waiangalie.

7. Mwanao anapofikisha umri wa
miaka 3 anza kumfundisha jinsi ya
kusafisha sehemu zake za siri
mwenyewe, na umuonye asiruhusu
mtu yoyote kumshika sehemu hizo.

8. Mfundishe mwanao thamani ya
kuishi bila kufuata mkumbo.

9. Mwanao akilalamika kuhusu mtu
fulani, usikae kimya.

10. Usipende kumruhusu mwanao
kulala na housegirl au houseboy au
mgeni. Huwezi jua tabia za watu na
wanayomtendea usiku.

Tafadhali washirikishe na wenzako kwa kushare habari hii nawao wajifunze kupitia kwako.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

6 comments

Ni kweli kabisa tabia hizi zipo kwenye jamii nami naongezea naona mmesahau mtoto hasitumwe sigara wala kuwasha sigara

Reply

sawa ni kweli lakini kumbuka maisha yasasa ni maisha ya kutaftua kuna vingine ni sawa unaweza ukamkanya mwenyewe pindi utakapokuepo akini kama upo katika utafutaji wa riziki je huyo mtoto utapata muda wa kumkanya

Reply

me ni muhanga mkubm wa kulala na house grls tang nkwatna miak4

Reply

Those this which your saying its right, but people we have to think about what will happen after for what you are doing today.

Reply

Du pole sana, but you can stop doing that this if your serious my dear.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top