Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MINI SHOP CHETA

Mini ShopCheta au Duka Dogo

Ni duka dogo kweli kama jina lake linavyojieleza hapo juu. Duka hili linatoa huduma ya mahitaji ya kawaida ya kila siku kwa wakazi wa Kitongoji cha Cheta pamoja na maeneo ya jirani au kwa lugha nyingine tunaweza kusema Mini Shop inatoa huduma ya jamii kwa watu wote. Mini Shop ilianzishwa tangu mnamo tarehe 18/01/2018.

Tulianza tunauza bidhaa chache sana, bidhaa izo ilikuwa ni pamoja na Dawa ya Mbu zile za vidonge za kuchoma, Viberiti, Karanga, Ubuyu pamoja na Tauro za wanawake (Ped). Na kipindi icho tulikuwa tunauza bidhaa izo kutokea nyumbani kabla ya kujenga Frem hii rasmi ya kufanyia biashara kama inavyo onekana hapo kwenye picha.
Mini Shop_Cheta kwa wakala_Mutalemwa

Mini Shop a.k.a Duka Dogo tunauza bidhaa mbali mbali ila kwa ucheche tu, zifuatazo ni baadhi ya bidhaa tunazouza. 

Maji
Pipi
Unga
Tambi
Ngano
Amira
Juice
Mikate
Sigara
Chumvi
Mchele
Sukali

Karamu
Battery
Viwembe
Vitunguu
Viberiti
Biscuits
Madaftari
Vichongeo

Majani ya Chai
Dawa ya Mswaki
Jumbo Ball Gum
Sabuni za kuogea
Mafuta ya kupaka

Viungo vya Pirau
Mafuta ya kupikia
Sabuni za kufuria
Maharage ya Njano
Maharage ya Kombati

Tauro za wanawake (Ped)
Pon Pon au Bambino za watoto wachanga
Pia Mini Shop ni wakala wa Vodacom M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Karibu sana dukani kwetu, karibu sana Mini Shop_Cheta tukuhudumie leo.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

NYUMBA PAMOJA NA FREMU ZA BIASHARA ZINAUZWA

Nyumba hii ina idadi ya vyumba vitano (5) ambavyo unaweza kuvitumia kwenye matumizi yako binafsi kulingana na jinsi unavyotaka kutumia sehemu ya vyumba ivyo.
Cheta kwa Kijonjo

ipo karibu na barabara kuu ya serikari, kwaiyo inafaa sana kwa biashara pamoja na makazi ya kawaida tu ya kila siku kama kulala pamoja na huduma zingine.
Cheta kwa Kijonjo.

tayari imeisha fanyiwa wireling (mfumo wa umeme upotayari) kinachosubiliwa ni umeme kuwashwa tu basi alafu matumizi yaanze.
Cheta kwa Kijonjo frem

Kuhusu huduma ya maji ondoa shaka maana kisima kimechimbwa nyuma ya fremu/nyumba hii, pia eneo iloilo kuna huduma ya tofari, mchanga, cement, kokoto, nk.
Cheta kwa Kijonjo house

Nyumba hii au frem hii, ipo kijiji cha Kazole kitongoji cha Cheta kata ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. 

Bei ni tsh 24,000,000/- (millions ishirini na nne) pia mazungumzo yapo.

Mawasiliano:
0659 91 9292
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

MFANYA BIASHARA WA KWELI LAZIMA AJIZUE NJIA IZI

Mpenzi msomaji wa makala hii, napenda nikwambie kitu kwamba siku izi watu wengi wanapenda kuanzisha biashara zao binafsi uku lengo lao kuu nikuachana na kuajiliwa kisha wajiajiri wenyewe na kujipatia kipato kupitia biashara zao walizo zianzisha.

Biashara za kufanya ziponyingi sana hapa duniani,ambazo ukizisimamia vizuri zinakutimizia marengo yako.

Mini Shop_Cheta kwa wakala_Mutalemwa

Mbali ya kwamba biashara nyingi zenye faida ya haraka ni zile biashara ambazo zina madhara makubwa kwa afya wa wanadamu mfano waweza kuwa Sigara, Pombe, madawa ya kulevya nk.

Ila zipo biashara ambazo nazo zinakuwa na faida japo kuwa inapatikana taratibu na uchukua mda mrefu kidogo kuonekana tofauti na biasha nilizo tangulia kuzitaja hapo juu.

Biashara izo ni pamoja na Unga wa Sembe, Sukari, mafuta ya kula, Pipi, jojo, soda, maji, madaftari, karamu, nk. Sasa basi, ili uweze kufanikiwa kwenye biashara yako yoyote ile utakayokuwa umeichagua kuianzisha unatakiwa kuwa na mipango mazubuti juu ya usimamizi na uendeshaji wa biashara yako.

Mini Shop+Cheta+kwa wakala+Mutalemwa

Mipango iyo nipamoja na kujua namna ya kutenganisha faida na pesa ya mtaji, kuweza kujua namna ya kuendesha mfumo mzima wa mauzo pamoja na manunuzi, kulipa mishahara nk.

Angalizo, huwezi kufanya biashara bila kumbukumbu, biashara yoyote ile inahitaji utunzaji wa kumbukumbu, usipoweza kipengele hiki basi jua kabisa wewe huwezi kufanya biashara yenye tija, bali unaweza kufanya biashara ya mazoea tu basi. Kujaribu sio kushindwa ebu anza leo uone miujiza ya biashara.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

KWA MAITAJI YA PS4 GAME, PS4 CD GAMES, PS4 CONTROL NK, BASI INGIA HAPA

KWA MAITAJI YA PS4 GAME, PS4 CD GAMES, PS4 CONTROL NK, BASI INGIA HAPA
Kwa maitaji ya PS4, Ps4 Cd Games pamoja na pard Control basi vitu vyote ivi vinapatikana kwetu na kwa bei ndogo sana ukilinganisha na sehemu zingine.

Tupo jengo LA village walk masaki jijini Dar es salaam na unaweza kuwasiliana nasi kupitia simu namba 0712 515 580
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

VIWANJA VINAUZWA ENEO LA VIKINDU KWA BEI NAFUU SANA

Iki kibao kinacho onyesha umbali hapo juu kipo Kongowe. Kutoka Posta Mpya hadi Vikindu ni dakika 43 sawa na 20 Km, alafu kutoka Vikindu hadi viwanja vilipo ni 4 km.

Viwanja vinauzwa eneo la Kazole Vikindu mkoa wa Pwani, ni 4km kutoka barabara ya rami ya Vikindu Getini,

 ndani ya viwanja ivi kuna minanasi. Ukubwa wa viwanja ni Futi 50 kwa 50 na bei yake ni Tsh. Millions 2 na maongezi pia yapo.

 Viwanja hivi havipo mbali na barabara. Tuwasiliane sasa kupitia: 0659 919292
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

ENEO LA HEKARI 17 LINAUZWA / 17 HECTARES FOR SALE, GO HERE NOW

This 17 hectares is available in Vikindu Kazole area, about the distance from the main road is 7Km. Our price is 130 Millions but is Negotiable. Call us through 0659 91 9292
Eneo hili liko Vikindu kitongoji cha Cheta wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, lote limezungushiwa uzio, ikiwa ni 4km kutoka barabara ya rami, linafaa kwa matumizi ya kiwanda, shule, hospital, shamba, makazi nk. Linauzwa kwa bei ya Tsh 130 millions pia maongezi yapo.
Nyumba yenyewe ndio hii hapa, ilo banda la mabati ni jiko. Tuwasiliane: 0659 91 9292
Huu ni moja wapo ya mikorosho iliyopo ndani ya eneo hili kubwa kabisa.
Ndani ya eneo hili kuna mimea ifuatayo. Miembe ya kisasa, Minazi, Mikorosho, pia kuna Tank la maji, bustani ya bamia, kuku, mbuzi, Nyumba ya vyumba vinne, nk
Tenk lenyewe ndio hili hapa, linafaa kwa matumizi ya kutunza maji ya kumwagilia bustani pamoja na matumizi mengine
Kuna mabwawa mawili makubwa kiasi kwa ajili ya kusaidia umwagiliaji bustani kipindi cha kiangazi, ili ni moja wapo.
Moja kati ya bustani nzuri kabisa zinazopatikana ndani ya eneo hili.
Hawa ndio mbuzi wanaofugwa kwenye eneo hili ndugu msomaji wetu.
Moja ya eneo linalotumika kuvumia maji ha mvua kwa ajili ya matumizi mbalimbali
Kwenye eneo hili kuna miti ya miembe ya kisasa mingi kweli kweli, tena yote ndo kwanza imeanza kutoa maembe mzao wa kwanza kama unavyoiona hapo pichani.
Kuku ndio hao nao pia wanafugwa ndani ya enwo ili, hawa ni wachavhe kati ya wote
Uzio uliozungushwa kwenye eneo lote hili la hekari 17 ndio huu unao uona pichani.


Linauzwa kwa bei ya Tsh 130 millions pia maongezi yapo. Tuwasiliane: 0659919292

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

WAPENZI WA KUTENGENEZA PESA ZA MTANDAONI NJIA RAISI IKO HAPA

Kuna mtandao mmoja maarufu unaitwa Propeller mtandao huu unafanana kabisa na Google na kazi zake nikama za Google ila uzuri wa mtandao huu nikwamba unatoa masharti nafuu sana ukilinganisha na Google.

(( BOFYA HAPA KUJIUNGA NAO ))

Kujiunga na mtandao huu kisha uanze kutengeneza pesa basi bofya hapo juu palipo na maneno yaliyowekwa kwenye mabano.

Kwa watu wenye kupenda kutengeneza pesa kupitia mtandaoni basi nafasi nzuri iko hapa.

Unaweza kutengeneza pesa bila ya kuwa na website wala blogs yeyote au kama una website au blog pia bado nafasi ya kutengeneza pesa iko pale pale.

Ukisha fungua link hiyo nenda sehemu iliyoandikwa BECOME OUR PARTNER , pakifunguka nenda REGISTER , kisha fuata maelekezo.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

KAMA UNATAFUTA NYUMBA AU KIWANJA, BASI INGIA HAPA NA UTAPATA KILA KITU


    ======== NYUMBA INAUZWA ========
                                 1
Nyumba hii ina jumla ya vyumba vinne (4), jiko 1, choo cha public 1 pamoja na frems mbili 2 za biashara kwa mbele. Umeme pamoja na maji vyote vipo jirani.

Nyumba hii ipo Mbagala Chamazi Saku Iruru, inauzwa kwa Tsh 46millions, picha za nyumba hii zipo (HAPA)


    ======== NYUMBA INAUZWA ========
                                 2
Nyumba hii ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, kitchen na stoo ya nje na choo cha ziada cha nje.

Eneo la kiwanja chake ni Futi 50 kwa futi 60 au mita 18 kwa mita 20. Pia nyumba hii tayari ina umeme, maji, ipo ndani ya fensi, kuna parking ya gari, Bei ni 75M.

Chumba cha master kina choo chake ila vingine viwili havina lakini kuna bafu na choo cha public kwa ndani ya nyumba na pia kwa nje kuna choo pamoja na stoo.

Nyumba ipo Dar es salaam eneo la Saku Stend- Mbagala kama unaelekea Chamazi, maongezi yapo. picha zaidi juu ya nyumba hii bofya (HAPA)

    ======== NYUMBA INAUZWA ========
                                 3
Nyumba hii ipo Mbagala Chamazi Dovya kwa mzara, ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 za biashara upande wa kulia, pia umeme na maji vyote vipo jirani.

Ukubwa wa eneo la kiwanja cha nyumba hii ni mita 26 urefu na upana wake ni mita 21 upana. Bei yake ni Tsh 56millions. Picha za nyumba hii ziko (HAPA)

      ============%%%%%%%%==========

  KAMA UNATAFUTA VIWANJA HIVI HAPA
Viwanja vifuatavyo vinapatikana maeneo ya Vikindu eneo la Ngunguti, viko umbali wa 1.5 km kutoka barabara kuu ya rami. Ukubwa wa viwanja pamoja na bei zake tazama kwa hapo chini.

1. Futi 50 kwa 40 bei yake ni 3millions
2. Mita 30 kwa 100 bei yake ni 40millions
3. Mita 50 kwa 40 bei yake ni 15millions
KUMBUKA: kila kiwanja bei inapungua.

      ======== VIWANJA NO: 2 ========

Pia tuna viwanja maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara. Viwanja hivi ni zaidi ya 60, kujua ukubwa wa viwanja hivi pamoja na bei zake tazama hapo chini;

1. Futi 43 kwa futi 56 ni Tsh. 7.5millions
2. Futi 43 kwa ft 112 ni Tsh.14.5millions
3. Futi 43 kwa futi 75 ni Tsh 10millions
4. Futi 43 kwa futi 38 ni Tsh 5.5millions

Unaweza kuangalia vitu vingine zaidi kupitia link ifuatayo=> (HAPA)

KUMBUKA: Bei zote zinapungua kwa kila kitu ulichokiona hapa. Kwa maoni/maswali/ushauri basi tuwasiliane kwa Namba: 0659 91 9292

     ======== SHULE INAUZWA ========

Majengo ya shule hii yako ndani ya eneo lenye ukubwa wa hekari 3 na robo, majengo ya shule hii yana wastani wa madarasa10, ofisi 3 pamoja na eneo la wazi kwa ajili ya michezo kwa wanafunzi.

Majengo ya Shule hii yako eneo la Picha ya Ndege mkoa wa Pwani karibu na  Kisemvule ikiwa ni 1.1km kutokea barabara kuu ya rami.

Majengo ya Shule hii bado yanajengwa, endapo ukiamua kuyanunua ikiwa kwenye hatua hii kama yanavyo onekana kwenye picha, basi bei yake itakuwa ni Tsh 156millions na bado bei inapungua pia.

Lakini majengo haya yakimalizika na kupigwa bati juu, Bei yake itakuwa ni Tsh. 200millions, maongezi yapo kwa mteja ambaye yuko tayari kununua. Picha zaidi tafadhali bofya (HAPA)

Tuwasiliane sasa kupitia namba ya simu ifuatayo hapo mbele (Tigo) 0659 91 9292
     ============%%%%%%%%==========

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

Kiwanja kinauzwa eneo la Kongowe Tuangoma

Kiwanja kinauzwa eneo la Kongowe Tuangoma, kiwanja hiki
Kipo karibu na barabara inayokwenda Kigamboni.

Ukubwa wake (urefu ni futi 100 na upana ni futi 50) Kipo maeneo mazuri yaliyojengeka na huduma za umeme na maji yapo.
Bei ni Milioni 16 na maongezi yapo.

Maelezo zaidi piga namba hizi 0659 91 9292
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

NYUMBA YA KISASA INAUZWA 90 MILLIONS NA MAONGEZI YAPO, PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Iyo nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, kitchen na stoo ya nje na choo cha ziada cha nje.

Eneo la kiwanja chake ni Futi 50 kwa futi 60 au mita 18 kwa mita 20. Nyumba tayari ina umeme, maji, ipo ndani ya fensi, kuna parking ya gari nk.

Chumba cha master kina choo chake ila vingine viwili havina lakini kuna bafu na choo cha public kwa ndani ya nyumba na pia kwa nje kuna choo pamoja na stoo.

Nyumba ipo Saku- Mbagala mbele kama unaelekea Chamazi, bei tunaanzia Tzs milion 90 ila maongezi yapo. Tuwasiliane kupitia namba ya simu ifuatayo 0659 91 9292

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

ENEO LA HEKARI 2 LINAUZWA, LIPO KWENYE KIJIJI CHA CHETA

Eneo la hekari 2 lipo kijiji cha Cheta, kata ya Kazole wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani, ni 8km kutokea Vikindu getini kwenye barabara ya rami linauzwa kwa Tsh. 10millions kila hekari moja.

Linafaa kwa makazi, mifugo, kilimo, nk. Kwa maoni / maswali / ushauri tupigie simu kupitia Tigo: 0659 91 9292

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

ENEO LA HEKARI 8 LENYE HATI MIRIKI LINAUZWA BAGAMOYO, KUJUA BEI BOFYA HAPA

Eneo la ekari 8 lenye Hati lililopo Mwavi kwenye kona ya barabara kubwa ya Lami ya Bagamoyo Msataa na Mkenge road kabla hujafika kiwangwa 18kms from Bagamoyo mjini.

Linafaa kwa Makazi, Petrol station, Bandari kavu, yard za magari, Hospital, Shule..nk, itategemea na matumizi ya mtu.

Bei ni Tsh 450 millions. Pia tukikubaliana unaweza kulipa kwa hawamu/installments kwa miezi 6 mpaka 10 itategemea na uwezo wa mteja.

Kwa yoyote mwenye kulitaka Tafadhali tuwasiliane  kwa namba 0659 91 9292

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

GARI AINA YA SUBARU INAUZWA/FOR SALE 10MILLIONS

Subaru inauzwa kwa bei ya Tsh 10 millions ila maongezi yapo.

Iko kwenye hari nzuri kabisa, inapatikana Posta jijini Dar es Salaam, usajiri wake ni namba "D".

Huu ni muonekano wa nje wa gari husika

Na huu ni muonekano wa ndani kwa mbele

Vibari vyote vimelipiwa, tuwasiliane kupitia 0659 91 9292


Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

FAIDA ZA GOOGLE ADSENSE ZIKO HAPA, KUJUA ZAIDI BOFYA HAPA

Mimi ni mtumiaji wa google adsense, kupitia adsense nimeweza kupata kipato cha kuendesha maisha
yangu kwa njia mbalimbali , kama ujenzi wa nyumba na uendeshaji wa
biashara nyingine kupitia kipato hicho tu .

Watu wengi wanapenda kujiunga na adsense na wengine walijiunga
wakakata tamaa au hata wengine akaunti zao kufungiwa kutokana na
kukiuka masharti kadhaa ya google adsense , mimi mwenyewe nilifungiwa
mara 3 hivi na nilipoteza zaidi ya milioni 5 za kitanzania .

Hili ni somo fupi kwa wale wanaopenda kujiunga na adsense au ambao
wameshajiunga lakini wanataka kupata faida zaidi .

            Google Adsense ni nini ?

Google adsense ni mfumo wa matangazo wa Google ambao unamwezesha mtu
kitangaza bidhaa zake kwa kipato alichotacho na kumwezesha mwenye
tovuti au blogu kufaidika kutokana na matangazo ya adsense kuonekana
kwenye blogu yake au tovuti yake .

Kwa lugha rahisi tunaweza kuita ppc Pay Per Click , Lipa kwa Click au
mguso mmoja kwenye tangazo husika, mimi mwenye blogu hela utakuja
kwangu kama mtu aligusa au gonga tangazo alilioona kwenye blogu yangu
na yule aliyetangaza bidhaa zake kwenye google hela ndio inakatwa
kutokana na click hiyo .

Mimi nina blogu nyingi ambazo nimejisajili na google adsense ,
ukiingia kwenye blogu hizo utaona matangazo yanaonekana yale matangazo
sijaweka mimi na sijuani na walioweka matangazo hayo mimi yangu ni
blogu na nafasi ya kutangaza niliyoiweka kwenye blogu .

Unajiungaje na Adsense ?

Adsense ni mali ya Google ni lazima au vizuri uwe na barua pepe ya
gmail ambayo ni ya google au nyingine ambayo itakuwezesha kuweza
kusajili adsense kwa urahisi lakini ni vizuri iwe imesajiliwa google .

Usajili unakuwaje ?

Ukishasajili inachukuwa siku 15 kwa
tovuti yako au blogu yako kuangaliwa kama inakidhi viwango vya google
adsense kama lugha ,picha ,maudhui ,rangi na copyrights .

Unaposajili unapewa CODE maalumu ambazo unaweza kuweka kwenye kurasa
za tovuti au blogu yako kwa ajili ya kuanza kuonyesha matangazo
mbalimbali .

Nikisema lugha nina maanisha utumie lugha zinazokubalika na adsense
kama kiingereza , kifaransa na nyingine za kimataifa Kiswahili
hakitakiwi labda uchanganye, kama blogu au tovuti yako ina picha chafu
haitakiwi , rangi zake ziwe nzuri zisiingilie maslahi ya matangazo ya
adsense na angalia milki ya vile unavyoweka .

Baada ya siku 15 inakuwaje ?

Baada ya siku 15 utapata email kama umekubaliwa au umekataliwa kama
imekataliwa unaweza kuangalia ulichokosea na kubalisha kwa kukata
rufaa unatakiwa ujaze appeal form ambayo nayo itaangaliwa kwa siku
15 .

Kama umekubaliwa basi unatakiwa kuingiza dola 100 au euro 70 , hela
hizi zinapatikana kutokana na matangazo yanayoonekana kwenye blogu au
tovuti yako , ukiwa na kipato hicho utatumiwa kadi yenye namba ya siri
ambayo utaingiza kwenye akaunti yako ili uweze kukamilisha usajili
wako wa adsense , mlolongo huu unaweza kuchukuwa miezi 2 hivi .

Unalipwaje ?

Inategemea umechagua mfumo gani wa kulipwa , kuna mifumo 3 hivi
inayojulikana zaidi .

a)Cheki – njia hii ilikuwa inatumika zaidi zamani hata sasa hivi kwa
baadhi ya nchi na wale wanaopenda , kwa wale wa afrika inachukuwa siku
7 kupata cheki yako hapo utakatwa euro 17 kwa ajili ya kusafirisha
cheki hiyo ,halafu unatakiwa kuingiza cheki kwenye akaunti yako ya
benki ambapo inachukuwa siku 21 kulipwa au zaidi ya hapo – benki
nyingine hazikubali cheki hizi kwahiyo wanaweza kukataa , kama
ikikubali benki itakata hela ya kuprocess cheki .

b) Uhamisho wa Benki – Njia hii pia ni nzuri lakini kuna hela Fulani
unakatwa kwa ajili ya kuhamisha hela kutoka nchi moja kwenda nyingine
kwa njia ya benki na sio benki zote zenye huduma hii na inategemeana
na kiwango cha hela inayotumwa kama ni ndogo sana inaweza kuwa tabu
kidogo .

c) Western union – Hii ndio bora na ya haraka zaidi mara nyingi
inalipwa kila mwisho wa mwezi unaofuatia kama ulipata dola 600 mwezi
wa 3 utalipwa mwezi wa 4 mwishoni baada ya mahesabu kukamilika na
baada ya kukatwa kodi na masuala mengine muhimu .

NINI KISICHOTAKIWA ?

1 – Huduma nyingine za Matangazo , Kwa sababu adsense ni Pay Per Click
ni bora usiweke matangazo mengine ya PPC kwa sababu yataingiliana na
maslahi ya adsense unaweza kufungiwa au kuweka huduma nyingine za
matangazo ambazo zinaweza kuzorotesha huduma za matangazo ya adsense .

2 – Kulazimisha watu kugonga au click au wewe mwenyewe kufanya hivyo ,
hutakiwi kulazimisha watu kugonga matangazo ili ujiongezee
kipato ,waache waangalie na kuamua wenyewe , kazi yako iwe ni kuweka
taarifa za kutosha kwenye blogu au tovuti yako zinazovutia watu
kutembelea na kuvutia watu wa masoko kupitisha matangazo yao kwenye
kurasa zako.

Hiyo namba moja ndio ya kwanza na muhimu zaidi nyingine ni Lugha , 

haki miliki , picha chafu na rangi nzuri kwenye kurasa zako ambazo
zitafanya matangazo kuonekana vizuri .

FAIDA KWA MWENYE BLOGU TOVUTI

Kutegemeana na aina ya blogu yako na maudhui lakini blogu au tovuti
ili iweze kupata zaidi ya dola 15 kwa siku inatakiwa angalau kuwa na
watembeleaji wa siku moja zaidi ya alfu 3000 , wanaotembelea toka nchi
zinazoendelea na kuclick toka nchi za ulaya ndio wenye fedha na
kuwezesha kulipwa vizuri zaidi kuliko nchi za afrika .

Kwa Tanzania blogu ya kawaida yenye watembeleaji kati ya 2000 au 4000
kwa Tanzania inatakiwa iwe na shilingi laki 9 kwa mwezi mmoja au zaidi
kama kipato chake

FAIDA KWA WATANGAZAJI/WAFANYABIASHARA.
Utangazaji kwa kupitia adsense ni rahisi na fedha yako inaenda
kihalali na ni rahisi kutokana na bajeti yako kama umepanga kutangaza
kwa laki 1 kwa mwezi na unataka tangazo lako lionekane Tanzania pekee
basi kwa kupitia adsense hiyo inawezekana kama unataka lionekana kwa lugha ya kiingereza pekee na lionekane japan au korea hilo
linawezekana ni wewe kuamua na kufanikisha hilo kupitia adsense .

Kama wewe ni mfanyabiashara huhitaji kuhangaika kutafuta blogu au
tovuti kubwa kutangaza bidhaa zako ambako inaweza kuwa gharama zaidi
na kupata nafasi ni finyu , fikiria adsense ifanyie kazi .

ADSENSE INAWEZA KUWA AJIRA TOSHA ?
Inategemea na mipango yako lakini adsense sio ya kuitegemea sana kama
usipofuata taratibu unaweza kufungiwa lakini kama ukifuata masharti na
kukaa nayo vizuri inaweza kuwa ajira yako inayokulipa vizuri na
kufanya maisha yako kwenda vizuri .

ADSENSE SIKU ZIJAZO .
Sasa hivi watu wanatumia simu za mikononi na vifaa vingine kwa ajili
ya kutembelea tovuti na blogu sio komputa kama zamani , kama ni
mtumiaji wa adsense jiandae kwa hilo hakikisha matangazo yako ni
mepesi na yanaweza kuonekana au kusomeka na watu wanaotuvmia vifaa
hivi na kukulipa vizuri bila usumbufu mwingine.


Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top