Mini ShopCheta au Duka Dogo
Ni duka dogo kweli kama jina lake linavyojieleza hapo juu. Duka hili linatoa huduma ya mahitaji ya kawaida ya kila siku kwa wakazi wa Kitongoji cha Cheta pamoja na maeneo ya jirani au kwa lugha nyingine...
Loading...
MINI SHOP CHETA
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
NYUMBA PAMOJA NA FREMU ZA BIASHARA ZINAUZWA

Nyumba hii ina idadi ya vyumba vitano (5) ambavyo unaweza kuvitumia kwenye matumizi yako binafsi kulingana na jinsi unavyotaka kutumia sehemu ya vyumba ivyo.
ipo karibu na barabara kuu ya serikari, kwaiyo inafaa sana kwa biashara pamoja na makazi...
Filed Under:
BIASHARA
on Tuesday, April 9, 2019
MFANYA BIASHARA WA KWELI LAZIMA AJIZUE NJIA IZI

Mpenzi msomaji wa makala hii, napenda nikwambie kitu kwamba siku izi watu wengi wanapenda kuanzisha biashara zao binafsi uku lengo lao kuu nikuachana na kuajiliwa kisha wajiajiri wenyewe na kujipatia kipato kupitia biashara zao walizo zianzisha.
Biashara...
Filed Under:
BIASHARA
on Saturday, April 6, 2019
Mwenyekiti wa kijiji cha Kazole achunguzwe na ikiwezekana aachie ngazi.

Kazole ni kijiji kinachopatikana kwenye kata ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Kijiji hiki kinaundwa na vitongoji kama Ngunguti, Cheta, Kilongoni nk.
Picha izi zote ndizo zinazo onyesha uharisia wa barabara kuanzia Vikindu kupitia Kazole...
Filed Under:
HABARI KITAIFA
on Friday, November 24, 2017
MKOMBOZI WA NYATI CEMENT INDUSTRY NI BARABARA YA VIKINDU GETINI KUPITIA KAZOLE, CHETA, MAGODANI, MWASONGA HADI KIMBIJI.

Cheta: Mkombozi wa Nyati Cement Industry ni barabara ya Vikindu getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji.
Cheta: Mkombozi wa Nyati Cement Industry ni barabara ya Vikindu getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji.
Kimbiji...
Filed Under:
HABARI KITAIFA
on Thursday, November 16, 2017
Powered by Blogger.