Featured

    Featured Posts

Loading...

Mwenyekiti wa kijiji cha Kazole ndugu JONGO achunguzwe na ikiwezekana aachie ngazi.

Kazole ni kijiji kinachopatikana kwenye kata ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Kijiji hiki kinaundwa na vitongoji kama Cheta, Kilongoni nk.
Picha izi zote ndizo zinazo onyesha uharisia wa barabara kuanzia Vikindu kupitia Kazole kwenda mpaka Cheta na mwisho wake ni Magodani pamoja na maeneo mengineyo kama Kimbiji nk.

Mwenyekiti wa Kazole ndugu JONGO achunguzwe na ikiwezekana aachie ngazi, pia Viongozi wote wa Kilongoni, Kazole, Cheta na Magodani  wachunguzwe mali zao au waache kazi.

Yote haya nikutokana na utendaji wao wa kazi katika maeneo yao wanayo yaongoza hapa kazole, cheta, kilongoni, pamoja na maeneo mengine yanayounda kijiji cha Kazole na majirani wao wakazi wa Magodani.

 Toka Kazole iwe kijiji mwaka 2013 mpaka leo mwaka 2017 hakuna ofisi rasmi ya kijiji iliyojengwa kwa pesa ya kutoka kwenye mfuko/akaunti ya kijiji.

Watu wananunua viwanja na wanalipa 10% (asilimia 10) ya manunuzi yao kwenye ofisi ya kijiji ila pesa izo hazionekani zinapokwenda.

Mikutano ya vitongoji au kijiji ufanyika lakini kwenye kipengere cha mapato na matumizi kila kiongozi ushikwa na kigugumizi na kushindwa kutoa majibu sahihi kwa wananchi.

Pesa pekee ya makusanyo ya mauzo ya viwanja kwa mwaka mmoja kwenye kijiji hiki cha Kazole pamoja na vitongoji vyake zinatosha kabisa kujenga ofisi ya kijiji pamoja na ofisi ndogo moja kwa kila kitongoji.

Mfano mzuri ni eneo la hekari 30 lililouzwa na viongozi hawa uku kazole, chukulia kila hekari 1 iliuzwa kwa tsh. 1,000,000 (million 1) kwa hekari 30 ni sawa na tsh. 30,000,000 (millions 30) je iyo 30 millions ikowapi? Bado mauzo ya viwanja kwa mtu mmoja mmoja na michango mbali mbali kutoka kwa wananchi pamoja na wafadhiri.

Pesa zote izi za mauzo ya viwanja, michango ya wananchi pamoja na michango ya wafadhiri zilianza kuliwa na viongozi hao tangu na kabla Kazole haijawa Kitongoji mpaka leo.

Hadi sasa Kazole, Cheta, Kilongoni na Magodani hawana barabara nzuri na yenye uakika, umeme, misikiti na makanisa, hospital au zahanati, shule ya msingi na Sekondari, maeneo ya masoko, viwanja vya michezo nk.

Kazole shule ya msingi mpaka sasa haijafikisha hata madarasa 7 ya kuwafundishia watoto wa elimu ya msingi, na shule ya sekondari ni moja tu ambayo ni Honda sekondari school.

Ambapo ni umbali mkubwa sana kwa watoto wanaotoka kazole, cheta, magodani na kilongoni kwenda kupata elimu kwenye shule iyo,  pia shule hii ya Honda secondary sio shule ya kijiji cha kazole pamoja na vitongoji vyake bali ni shule ya majirani zao wa Vianzi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

MKOMBOZI WA NYATI CEMENT INDUSTRY NI BARABARA YA VIKINDU GETINI KUPITIA KAZOLE, CHETA, MAGODANI, MWASONGA HADI KIMBIJI.

Cheta: Mkombozi wa Nyati Cement Industry ni barabara ya Vikindu getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji.

Kimbiji kuna muwekezaji wa kiwanda cha Nyati cement ambapo katika utoaji wa huduma yake kwa watanzania hulazimika kutumia barabara ya Kibada uku Kigamboni ili kusafirisha cement kutokea Kimbiji hadi mjini.

Lakini kuna barabara ambayo ni fupi sana kuliko ile anayoitumia muwekezaji uyo wa kiwanda cha Nyati Cement kwa sasa.

Barabara iyo fupi inayozungumziwa ni ile inayoanzia Vikindu Getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji na kuunganisha maeneo mbali mbali ya katikati ambayo ayajatajwa.

Kuimarika kwa barabara hii ya Vikindu Getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji kutampunguzia muwekezaji huyu adha ya usafirishaji wa Cement yake na kumuongezea nguvu ya kuzalisha cement nyingi zaidi.

Pia kuimarika kwa barabara hii ya Vikindu getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji kutatoa fursa kwa wakazi wa maeneo tajwa kukua kibiashara, kiuchumi ata kisiasa nk.
Cheta: Mkombozi wa Nyati Cement Industry ni barabara ya Vikindu getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji.
Cheta: Mkombozi wa Nyati Cement Industry ni barabara ya Vikindu getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji.

Kwa sasa barabara hii ya Vikindu getini kupitia Kazole, Cheta, Magodani, Mwasonga hadi Kimbiji ipo kama unavyo iona kwenye picha hapo juu na chini.

Pia wakazi wa maeneo tajwa wanapata shida sana katika kusafiri, ambapo kutoka Vikindu getini hadi Kazole magenge 20 ni umbali wa dakika 15 hadi 20 ila kila abiria hutozwa Tsh. 500 na mwanafunzi tsh. 200 hadi tsh. 250.

Huku Noah zinazoanzia Vikindu getini kwenda hadi Magodani zikipitia Kazole magenge 20 pamoja na Cheta kila abiria anatozwa Tsh. 1,000 ukiwa ni umbali wa kama dakika 30 hadi 35 tu.

Izo bei za nauri hutozwa kipindi cha kiangazi ila ikifika masika nauri upanda hadi mara 4, wakazi wa Kazole ulipa tsh. 2,000 na wakazi wa Cheta na Magodani ulipa tsh. 4,000 na Boda boda uwa ni kati ya tsh. 5,000 mpaka tsh. 10,000

Lakini mbali ya nauri kuwajuu namna hiyo japo sio viwango elekezi kutoka SUMATRA, bado kuna changamoto ya uchache wa magari yanayotoa huduma, kwaiyo tunamuomba Mhe. Rais Magufuri na serikari yake kupitia wizara ya ujenzi walitazame swala hili kwa jicho la tatu.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

Barabara ya Magodani, Cheta, Kazole, Kilongoni hadi Vikindu kufanyiwa ukarabati

Mkuu wa wilaya azungumzia barabara ya Magodani na Kilongoni hadi Vikindu inayopitia Cheta, Kazole kisha kuunganisha kwenye barabara kuu ya rami inayoenda mikoa ya kusini.
Barabara ya Magodani, Cheta, Kazole, Kilongoni hadi Vikindu kufanyiwa ukarabati
Barabara ya Magodani, Cheta, Kazole, Kilongoni hadi Vikindu kufanyiwa ukarabati

Habari kamili isome kupitia
[HAPA] 

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

WAKAZI WA CHETA WANATAKA BARABARA, SHULE, UMEME, SOKO, HOSPITAL, MAJI, MSIKITI NA KANISA

Maendeleo huletwa na watu, watu wenyewe ndio sisi tukishirikiana na viongozi wetu ndipo tunaweza kupiga hatua chanya kuelekea kwenye kilele cha mafanikio.

Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa

Ila wazo ili naona linapingana na uhalisia wa maisha ya wananchi na wakazi wa eneo la Cheta pamoja na viunga vyake.

Ikiwa imepita miezi michache ndani ya mwaka huu wa 2017 tayari zimeonekana alama za vijiti zinazo ashiria njia za uwekaji wa nguzo za umeme.

Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa

Alama izo zimetokea eneo la Vikindu zimepita eneo la Kazole mjini, Kazole shule ya msingi iliyopo mpakani na eneo la Hamidu na nguzo ya mwisho imeishia Kazole Magenge 20 eneo la njia panda ya kwenda kwa Bakhresa ambapo ndipo mpakani mwa Kazole na Cheta.

Sasa kuanzia hapo mpakani mwa Cheta na Kazole kwenda hadi mpakani mwa Cheta na Magodani hakuna alama yoyote inayo onyesha kuwa nguzo za umeme zitapita ili kwenda mpaka Magodani.

Cheta ipo ndani ya Kazole uku ikipakana na Magodani ila viongozi wa kazole kwa ujumla wamekuwa wakipasahau sana Cheta.
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa

Baada ya uongozi wa Magodani kuchonga barabara yao kuanzia mpakani mwa Cheta kuelekea kwao ndipo Kazole wao walisimika alama za kuonyesha njia za nguzo za umeme zitakapo pita na wao wakaishia mpakani mwa Kazole na Cheta

Je Cheta inayoachwa katikati inaongozwa na akina nani?? Na je kama ina viongozi wake ivi wao wanatambulika upande wa Magodani au upande wa Kazole?? Wananchi wanataka kufahamu.

Kumbuka wakazi wote wa maeneo ya Mwasonga, Magodani, Cheta, Kazole na Vikindu wanategemea Barabara inayoanzia Vikindu hadi uko Mwasonga pamoja na maeneo mengine ambayo sikuyataja sasa je kama maendeleo na miundo mbinu vinawekwa mwanzoni mwa eneo na mwishoni bila kupaunganisha katikati je kunatengeneza kitugani jamani??
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na KanisaWananchi wa Cheta wanataka maendelea ya kweli kwa vitendo nasio maendeleo ya kuongea mdomoni na kuwadanganya kwenye mikutano ya vijiji inayofanyika.

Wakazi wa Cheta wanataka Barabara safi, Shule ya msingi na ya Sekondari, Hospital, Soko, Umeme, Visima vya Maji masafi, Viwanja vya Michezo, Sehemu za ibada (Miskiti/Makanisa), Maziko nk.

Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule ya msingi na ya Sekondari, Hospital, Soko, Umeme, Visima vya Maji masafi, Viwanja vya Michezo, Sehemu za ibada (Miskiti/Makanisa), Maziko nk.
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na Kanisa
Wakazi wa Cheta wanataka Barabara, Shule, Umeme, Soko, Hospital, Maji, Msikiti na KanisaKwa habari zaidi juu ya wakazi wa Cheta, Kazole na Magodani tazama apo chini.

CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA WAKAZI WA KIJIJI CHA KAZOLE NA VITONGOJI VYAKE ZIKO HAPA
             [Bofya hapa kusoma]

ILE BARABARA INAYOANZIA VIKINDU GETINI KWENDA HADI MAGODANI NDIO HII
              [Bofya hapa kusoma]

KUTOKA PWANI: HIKI NDICHO KIJIJI CHA KAZOLE PAMOJA NA VITONGOJI VYAKE
              [Bofya hapa kusoma]

CHANZO CHA KUZOROTA KWA MAENDELEO KWENYE KIJIJI CHA KAZOLE NA VITONGOJI VYAKE IKI HAPA
           [Bofya hapa kusoma]

ENEO LA HEKARI 2 LINAUZWA, LIPO KWENYE KIJIJI CHA CHETA
                [Bofya hapa kusoma]

ENEO LA HEKARI 17 LINAUZWA / 17 HECTARES FOR SALE, GO HERE NOW
            [Bofya hapa kusoma]

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

KWA MAITAJI YA PS4 GAME, PS4 CD GAMES, PS4 CONTROL NK, BASI INGIA HAPA

KWA MAITAJI YA PS4 GAME, PS4 CD GAMES, PS4 CONTROL NK, BASI INGIA HAPA
Kwa maitaji ya PS4, Ps4 Cd Games pamoja na pard Control basi vitu vyote ivi vinapatikana kwetu na kwa bei ndogo sana ukilinganisha na sehemu zingine.

Tupo jengo LA village walk masaki jijini Dar es salaam na unaweza kuwasiliana nasi kupitia simu namba 0712 515 580
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top