Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

PROFESA JAY ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE MIKUMI

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Profesa Jay mwaka 2015 ameamua kuja na headlines mpya na hii ni baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Mikumi kupitia Chadema,Simple X na Black Rhyino ni wadogo wa Profesa Jay ambao Profesa Jay aliamua kuwafungulia njia kwa kuwashirikisha kwenye ngoma zake kisha akawaacha wakaendelea wenyewe.

Sasa swali lililokuja ni kwamba atakapofanikiwa kuwa Mbunge ana mipango ya kuwashika mkono wadogo zake wengine ambao anaamini wanaweza hilo akasema Yeye hajaangalia ndugu alionao yeye mipango yake ni kuwasaidia Watanzania wote kwa nafasi zao.

Headline za Shilole Mei 14  zilitolewa ufafanuzi na Baraza la sanaa la Taifa na kusema kuwa wamehudhunishwa sana leo Basata wamesema kuwa hii itakua ni mara ya pili kwa Shilole kuitwa na kuelekezwa namna ya mavazi anayovaa jukwaani.

Rubby kasema kuwa video yake ya Na Yule imekamilika na rasmi imetoka leo,imeongozwa na Mkenya Kelvin Bosco JNR na kasema ilikamilika wiki moja iliyopita zaidi walikua wakijipanga siku rasmi ya kuachia.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top