Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

UBELGIJI YASITISHA MISAADA NCHINI BURUNDI

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Ubelgiji imesitisha msaada wa aina yoyote kwa Burundi, hasa uliokuwa ukifadhili uchaguzi mkuu wa nchi hiyo. Hayo ni kutokana na mapigano makali ambayo yanashuhudiwa kwa sasa nchini humo, kati ya polisi na raia wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania tena urais kwa muhula wa tatu.

Ghasia zimekuwa zikitokea nchini humo tangu rais alipotangaza hatua hiyo ya kuwania tena kiti hicho kinyume na katiba ya nchi hiyo.
Rais Nkurunziza kuwania muhula wa tatu Mchunguzi mmoja wa jumuia ya bara Ulaya, alisema juma lililopita kuwa, masharti ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu yameafikiwa. Bwana Nkurunziza anazindua kampeini yake ya kuwania kiti hicho hii leo Jumatatu. Umoja wa mataifa umeelezea kuongezeka kwa idadi ya watu wanaoitoroka Burundi.

Waandamanaji wakipinga hatua ya Nkurunziza kutaka kuwania muhula wa tatu Kufikia sasa zaidi ya watu elfu mia moja na hamsini wamekimbia nchi hiyo huku zaidi ya watu 19 wakiuwawa katika ghasia.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top