Mara nyingi imezoeleka ndani ya nyumba wanawake wengi huwa na tabia ya
kuongea sana kuliko wanaume kitendo ambacho mara nyingine kinawachukiza
baadhi ya wanaume na kuamua kuchelewa kurudi nyumbani ili kuepukana na
kelele za wake zao.
Jamaa mmoja katika jimbo la Texas, Marekani anashikiliwa na polisi kwa
tuhuma za kusababisha mauaji baada ya kumziba mke wake Ceaira Ford na
mto hadi kufa kwa madai anaongea sana.
Baada ya kufanya kitendo hicho Janathamn Edelen alijipeka mwenyewe kituo
cha polisi na polisi walipokwenda nyumbani kwake walishuhudia mwili wa
mwanamke huyo ukiwa juu ya kitanda huku tayari akiwa amefariki.
Mwanaume huyo amehukumiwa kwenda jela na kulipa faini ya dola 500,000.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment