Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

STORY YA WANANDOA KUFUNGA NDOA WAKIWA NA UMRI MKUBWA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Nani amesema umechelewa kuoa au kuolewa?  kuna watu huwa na wasiwasi kuwa wamechelewa kufunga ndoa kwa madai umri umekwenda lakini kwa George Kirby na Doreen Luckie imekua tofauti kabisa baada ya kuamua kufunga ndoa wakiwa na umri mkubwa.

George mwenye miaka 103 na Doreen mwenye miaka 91 waliamua kutimiza ndoto yao hiyo ya siku nyingi kwa kufunga ndoa.

Wawili hao wamefunga ndoa baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa miaka 27 huku kila mmoja akisema hajutii kuchelewa kufanya maamuzi hayo.

Sherehe hiyo ya aina yake ambayo ilifanyika katika hotel ya Eastbourne, Kusini mwa Uingereza ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu na marafiki wa karibu wa familia hiyo.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top