Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WANAFUNZI WA PRI&SEC WATUMIKA KUUZA MADAWA YA KULEVYA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

   Habari kamili juu ya story hii bofya hapa

Je, unazijua safari zote za mtoto wako wa kiume? Je, siku za mwisho wa juma au mapumziko anakuwa kwenye mazingira yanayoeleweka? Je, hakuna wakati ameonekana kuwa na vitu kuliko uwezo wa familia?

Basi kama hujui, watoto wadogo wenye umri wa kati ya miaka 10 na 17 tena baadhi wakiwa ni wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, wamebainika kuwa wanatumiwa na wauzaji wa dawa za kulevya kusambaza dawa hizo katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa miezi miwili sasa unaonyesha kwamba baadhi ya vijana walioanza kutumika kusambaza dawa hizo wakiwa wadogo sasa ni wafanyabiashara wanaojitegemea. Mbali ya kutumiwa kusambaza dawa hizo zinazoangamiza nguvu kazi ya taifa, wanatumia dawa hizo.

Kwa mujibu wa uchunguzi huo, wauzaji wa dawa za kulevya huwatumia watoto hao kusambaza dawa hizo kutoka eneo moja kwenda jingine kwa kuwa ni vigumu askari kuwatilia shaka na kuwakamata watoto, tofauti na ilivyo kwa watu wazima.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top