Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WIMBO MPYA WA MAINA FT DAZLA-MUME WANGU HUNAPATIKANA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Mwanadada Maina akiwa amemshirikisha msanii mwenzake ajulikanaye kama Dazla kwenye wimbo wake mpya unakwenda kwa jina la Mume wangu.
Maina ni moja ya zao la bongo star search mwaka juzi, ambaye baada ya kumaliza mashindano hayo ya bss sasa mwaka huu ameamua kutoka na kibao chake kipya kama nilivyo kueleza hapo mwanzo

Kusikiliza wimbo wake leo bofya |>>hapa/click here<<| endelea kuwa nasi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top