Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HILI NI JENGO LA DURBAN SOUTH AFRICA KULIKOTOLEWA TUZO ZA MTV

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Durban Arena 2Ni nchi iliyoendelea sana Afrika kwa kuwa na miundombinu mizuri kama barabara na hata majengo ambayo yanaweza kutumika kwa matukio kama haya ya MTV Mama Awards ambapo event ilifanyika kwenye ukumbi wa ICC Durban South Africa.
Durban Arena 3
Ni ukumbi ambao June 2015 uliendeleza headlines zake kwa kupigiwa kura kwenye tuzo ya kuwa ukumbi bora wa mikutano Afrika kwa mara ya kumi na nne mfululizo kutokana na ubora wake, ujenzi wa kisasa na hata urahisi wa kupata huduma muhimu unapokuwa ndani yake.


Inawezekana sababu mojawapo ya utolewaji wa tuzo kubwa za burudani Afrika kufululiza kufanyika Afrika Kusini ni kutokana na urahisi wa sehemu ya kufanyikia yani majengo sahihi kwa ajili ya events kubwa kama hizi ambapo MTV Mama Awards 2015 zilitolewa hapa July 18.
 
Durban Arena 4Kwa mara nyingine tena tuzo za MTV Africa 2015 zilifanyika ndani ya hili jengo ambapo Tanzania ilikua ikiwakilishwa na wawili ambao ni Diamond Platnumz aliyeshinda tuzo ya BEST LIVE pamoja na Vanessa Mdee.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top