Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HOTUBA YA RAISI JK KIKWETE JANA YAACHA MATUMAINI KWA WANA HABARI

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Siku ya jana rais Kikwete ameriutubia bunge, huku akisisitiza na kuviomba vyama vya siasa nchini kutumia kipindi hiki cha uchaguzi kufanya siasa nyenye kuleta mafanikio chanya.

Rais Kikwete hakuishia hapo bali aliendelea kujinadi kwa kusema alitukuta kuleee ila leo ametuacha hapa, huku akisema katika kipindi chake cha utawala ameweza kupunguza myanya ya rushwa huku watumishi 90 wa serikali wakifukuzwa kwa tukio hilo la rushwa.

Pia rais ameendelea kusema yakwamba maendeleo ya wananchi yamekuwa sana maana watu wengi wameweza kujenga nyumba za mabati, wananchi wengi kuweza kupanda ndege, kuongezeka kwa watumiaji wa simu za mikononi, kupunguza bei za matumizi ya Internet. Uku ikiwa ndio hotuba yake ya mwisho kwa kipindi chake chote za uongozi.

Mbali na kuongea mambo mengi sana, Rais Kikwete amewashukuru na kuwapongeza waandishi wa habari nchini kwa kazi zao nzuri wanazozifanya pamoja na kuwashukuru tume ya katiba na bunge zima kwa ujumla wake.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top