Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KAMA UNA ACCOUNT KWENYE SIMU YA MKONONI SOMA HABARI HII HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Ndugu yangu  kuanzia sasa mtu akikuomba umtumie pesa kwenye namba fulana atakama namba unaijua usikubali mpaka umpigie uhakikishe kama ni yeye mwenyewe kweli.

Kuna mchezo umeingia wa kubrock namba yako kwa muda kisha waanaitumia kuomba watu pesa. Kunamtu ameibiwa milion moja akijua anamtumia mkewe kumbe sio ni wezi. 


Wanaofanya mchezo huu ni wezi, kwaiyo kuweni makini sana ndugu mdau wetu. Ukimaliza kusoma ujumbe huu share kwa ndugu jamaa na marafiki zako ili wasije wakaibiwa kama ilivyotokea kwa mtajwa.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top