Nec Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi
Kwa mujibu wa Ibara ya 75(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania ya mwaka 1977, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina jukumu lakuchunguza mgawanyo wa Jamhuri ya Muungano katika Majimbo yaUchaguzi;
Tume inaweza kutekeleza jukumu hilo mara kwa mara auangalau kila baada ya miaka kumi.
Kwa mujibu wa Ibara ya 75(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania ya mwaka 1977, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina jukumu lakuchunguza mgawanyo wa Jamhuri ya Muungano katika Majimbo yaUchaguzi;
Tume inaweza kutekeleza jukumu hilo mara kwa mara auangalau kila baada ya miaka kumi.
Yafuatayo ndio majimbo mapya. Unaweza kupakua taarifa nzima kwenye kiambatanisho
MAJIMBO YALIYOANZISHWA KWA KIGEZO CHA ONGEZEKO LA
HALMASHAURI
HALMASHAURI
Majimbo 20 yanayoanzishwa kutokana na kuanzishwa kwa
Halmashauri mpya ni kama yafuatayo:
Halmashauri mpya ni kama yafuatayo:
1. Handeni Mjini
2. Nanyamba
3. Makambako
4. Butiama
5. Tarime Mjini
6. Tunduma
7. Nsimbo
8. Kavuu
9. Geita Mjini
10. Mafinga Mjini
11. Kahama Mjini
12. Ushetu
13. Nzega Mjini
14. Kondoa Mjini
15. Newala Mjini
16. Mbulu Mjini
17. Bunda Mjini
18. Ndanda
19. Madaba
20 Mbinga Mjini
2. Nanyamba
3. Makambako
4. Butiama
5. Tarime Mjini
6. Tunduma
7. Nsimbo
8. Kavuu
9. Geita Mjini
10. Mafinga Mjini
11. Kahama Mjini
12. Ushetu
13. Nzega Mjini
14. Kondoa Mjini
15. Newala Mjini
16. Mbulu Mjini
17. Bunda Mjini
18. Ndanda
19. Madaba
20 Mbinga Mjini
Majimbo 6 yanayoanzishwa kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu ni pamoja na:
1. Mbagala – Dar es salaam
2. kibamba – Dar es salaam
3. Vwawa – Mbeya
4. Manonga - Tabora
5. Mlimba - Morogoro
6. Ulyankulu - Tabora
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
2. kibamba – Dar es salaam
3. Vwawa – Mbeya
4. Manonga - Tabora
5. Mlimba - Morogoro
6. Ulyankulu - Tabora
Post a Comment