Ukosefu wa elimu ya kutosha kwa wananchi ndio chanzo kikubwa cha kufanya zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya kupigia kura kuonekana gumu.
Watu wanaamka saa tisa usiku wanakuja vituoni kisha wanaandika majina kwenye daftari kisha wanarudi makwao kulala. Inapofika saa mbili na nusu asubuhi ofisi zikafunguliwa kundi la watu wanaokuwepo kituoni nitofauti na lile kundi la kwanza ambalo limeandika majina kisha wakarudi kulala.
Au mtu mwingine ajiandikisha kwenye list ya folen kisha anaondoka kwenye eneo la tukio, nafasi yake ikifika jina likaitwa hayupo baada ya nusu saa au lisaa anakuja analalamika akidai amelukwa jina lake. Sasa je kwa mambo kama hayo nani wakulaumiwa kati ya watendaji (watoa huduma vituoni) na raia?? Tupe maoni yako.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment