Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MLUNDIKANO WA KESI MAHAKAMANI WAPATIWA UFUMBUZI, ZAIDI BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Jaji mkuu wa Tanzania Othaman Chande amewataka mahakimu wa mahakama ambazo hazina msongamano wa mashtaka kupelekwa kwenye mahakama zenye mlundikano wa mashtaka ili kupunguza kero kwa watanzania ambao kesi zao zinachukua muda kusikilizwa kwa upungufu wa mahakimu.

Chande ameyasema hayo alipokuwa katika ziara yake mkoani Geita yenye lengo la kutizama utendaji wa mahakama amesema kuna mahakama zingine hazina mashauri mengi hivyo kukaa muda mrefu bila kufanya kazi ambapo amewataka kwenda ambako kuna mashauri mengi kusaidia upatikanaji wa haki.

Aidha amesema lengo la mahakama kwa mwaka huu wa 2016 ni kuhakikisha mashauri yote yanasikilizwa na ifikapo mwisho wa mwaka huu kuwa na kesi sifuri zinazosiamamiwa na mahakama zote.

Awali akimkaribisha jaji mkuu hakimu mkazi mwandamizi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Geita Ushindi Swallo amesema changamoto ya miundombinu ya mahakama zilizonyingi wilayani hapa ndicho chanzo cha ucheleweshwaji wa mashauri yaliyo mengi.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top