Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Serikali imesema imevunja lengo ililojiwekea la kudahili wanafunzi katika sekta ya afya kutoka wanafunzi elfu kumi kwa mwaka
na kufikia elfu kumi na moja na mia katika mwaka wa masomo 2015/2016 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wake wa kulifanya taifa liwe na watalaamu wa kutosha wa sekta ya afya.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment