Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MULOKOZI KYARUZI ASHTAKIWA BAADA YA KUITA RAIA MAGUFULI BWEGE, ZAIDI BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Raia mmoja wa Tanzania anakabiliwa na mashtaka baada ya kutuhumiwa kutoa matamshi ya kumuita Rais John Magufuli bwege kupitia mtandao wa kijamii wa Whatsapp.

Mulokozi Kyaruzi ameshtakiwa chini ya sheria ya uhalifu wa kwenye mtandao. Huyu ni mtu wa pili kushtakiwa chini ya sheria hiyo, kwa kumkashifu rais.

Sheria hiyo ilishutumiwa vikali kwa kubana uhuru wa kujieleza wakati ilipopitishwa mwaka jana.
Chanzo: Facebook.com/Salim Kikeke. 

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top