Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

AJIRA KWA VIJANA WA TAIFA ILI NDICHO KILIO KIKUBWA MPAKA LEO, INGIA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Mhe:Antony Mavunde Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi ,vijana na Ajira alifanya Ziara ya kikazi katika ukaguzi wa Shughuli za Vijana Wajasilia Mali

Akiambatana na Mhe:Stanslaus Mabula Mbunge wa Nyamagana Walitembelea Kiwanda cha CHOBO INVESTMENT kinacho  jiusisha na Shughuli za Uchinjaji wa kisasa

Katika Ziara iyo Mhe:Antony Mavunde Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi ,vijana, Ajira na Walemavu alifurahishwa na Shughuli zinazo fanywa na bwana Chobo Juu ya kupanua wigo wa Vijana kujiajiri Alisema"Siku ya Leo nimetembelea Kiwanda cha bwana chobo Investment kinacho jihusisha na Uchinjaji wa Kisasa na kama Serikali nnaahidi kumpa ushirikiano wa kutosha  sababu tunaona Leo hii ,kupitia Kampuni ya Chobo Investment tunaona Vijana wengi wamepata Ajira zaidi ya 250 kupitia Mradi huu wa Uchinjaji na Usindikaji wa Nyama Kisasa binafsi na penda kuwahamasisha Vijana Wengine kuacha kuwa tegemezi na kuzichangamkia fursa mbali mbali  katika harakati za Vijana kujikwamua kiuchumi.

Pia nae Mhe:Stanslaus Mabula Mbunge wa jimbo  la nyamagana Alisema"Ipo  sababu kubwa ya Sisi Viongozi wa Serikali na Wananchi Kuwapa Ushirikiano wa kutosha Vijana wenye  Nia na Dhamira ya kujikwamua kiuchumi na Mm kama Mbunge wa jimbo  la nyamagana na zidi  kusema kamwe sitasita kuwasemea na kuwapa Ushirikiano wa Asilimia Mia Vijana wote katika jimbo  la nyamagana ili kuzidi kufungua Fursa kwa Vijana wote wa jimbo  la nyamagana Wenye  Dhamira ya kujikwamua kiuchumi kwani nnaimani kufanya ivi tutapunguza tatizo la Vijana kushinda kwenye Magenge ya kuhuni na kuwa Vibaka kwa Kukosa kazi.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top