Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Duniani kuna maneno mengi sana ila mwadamu hutakiwi kujua kila neno lina maana gani, maana ukianza kufatilia maana ya kila neno utajikuta ufanyi mambo ya maendelea mwishoe unakufa ukiwa maskini.
Vijana kwa wazee, ebu tuache maneni kisha tufanye kazi jamani. Endelea kuwa nasi tukujuze zaidi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment