Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Ukweli kuhusu upatikanaji wa mafuta ya Diesel kwenye visima vya maji Mkoani Songwe uko hapa.

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Kwenye vitu ambavyo inawezekana hukua ukifahamu au kufikiria kama kuna uwezekano wa kuwepo ni pamoja na hii issue ya upatikanaji wa mafuta aina ya Diesel kwenye visima vya maji Mkoani Songwe.

Waziri wa Mazingira na Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe January Makamba kwenye ziara yake ya mazingira amefanikiwa kufika katika mji wa Mloo ulioko kwenye mkoa wa Songwe na kupokea taarifa  ya mazingira ya  Mkoa ambayo imebainisha tatizo la uwepo wa mafuta ya Diesel kwenye visima vya maji na kuelezwa kuwa mafuta hayo siyo mafuta ghafi yanayotakiwa kupatikana ardhini.


Taarifa hiyo pia imeeleza kuwa uvamizi wa shughuli za binadamu katika vyanzo vya maji inatishia uhai wa vyanzo hivyo,Waziri Makamba ameahidi kusaidia upatikanaji wa wataalamu ili kuweza kutambua chanzo cha tatizo hilo la uwepo wa mafuta katika visima vya maji na kutambua njia sahihi za kukabiliana na tatizo hilo.

Vilevile Waziri Makamba amefika katika Wilaya ya Ileje ambapo pia amepokea taarifa ya Mazingira ya Wilaya na kupongeza juhudi kubwa za wilaya ya Ileje katika utunzaji wa mazingira hasa  eneo kubwa la misitu uliopo katika lililopo katika Wilaya hiyona kuahidi pia kuzisaidia Halmashauri za Wilaya na Vijiji namna sahihi na bora zaidi ya kuandaa sheria ndogo za mazingira ili kukabiliana na changamoto za uharibifu wa Mazingira.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top