Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
"Vijana hawana ajira eti mnawaambia wajiajiri, wewe mwenyewe umeshindwa kujiajiri umeomba Ubunge hapa unataka kijana wa mtaani ajiajiri iyo ni sawa na kuota mchana, wabunge waote tumeshindwa kujiajiri na matokeo yake tukaenda kuomba ajira kutoka kwa wananchi, wengine maprofesa sijui na nini.
Kijana aliyemaliza chuo mwaka wa kwanza mnamwambia nenda kajiajiri kule, vijana hawawezi kutengeneza ajira.
Mnataka tukae wapi tukisema hili kwenu baya, tukija hapa kwenu baya mnataka nini sasa?" Hayo yalikuwa ni maneno ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment