Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

UJUMBE WANGU KWAKO KWA SIKU NZURI YA LEO

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Nimefarijika kukukumbuka  kwa mara nyingine!. Mungu akujalie afya njema leo na siku zingine zote za maisha yako milele yote!

Usiwe na moyo wa kunichukia kama wengine. Ukiona napotea nishike mkono na uniongoze kwingine!

Mimi ni dhaifu labda hujui pengine. Sio leo tu nitakujali hata kama uko kwingine, Kukaa kimya haimaanishi nawathamini wengine!

Thamani yako iko vilevile na si vingine kama unavyothani. Ninavyo kujali wewe ni tofauti kabisa na vile ninavyowajali watu wengine.

Yawezekana nilikukera sana kwa namna moja au nyingine, ila leo naomba msamaha wako.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top