Umati wa watu ukionekana katika eneo la Makutano ya Barabara ya Kawawa na Uhuru, Karume jijini Dar es salaam kutokana na kuwepo kwa baadhi ya walemavu wa viungo waliokaa katikati ya Barabara hizo kuitaka kutokana na kuvunjwa kwa mabanda yao ya biashara na watu wasiojulikana katika eneo la la Karume, hali iliyopelekea njia hizo kufungwa kwa muda na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Akifafanua kuhusu tukio hilo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala,Raymond Mushi amesema kuwa suala la fidia watafanya uchunguzi ili kubaini waliopotelewa na mali zao,amesema walemavu watarudi katika maeneo hayo na waondoke eneo la barabara ili watu wengine waendelee na shughuli zao.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment