Wanawake waishio Rombo mkoani Kilimanjaro wametoa mpya ya mwaka baada yakukiri kuwa wanaume waishio rombo wakiwemo waume zao ni walevi kupindukia hadi kufikia hatua ya kutokufanya vyema na kushindwa kabisha kuwaridhisha wake na wapenzi wao katika tendo la ndoa.
Hvyo kupelekea wanawake hao kuchukua wanaume toka nchi jirani ya kenya kwaajili ya mambo hayo yaliyoshindwa na waume zao.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi zinasema magari mengi ya abiria yatokayo maeneo mbali mbali nchini yamejaa wanaume kwa asilimia kubwa ambao wameamua kwenda rombo kwaajili yakazi hiyo baada ya kupata taarifa hizo.
Pia wengi wamelalamikia wanawake hao ambao wamefikia kuchukua wanaume kutoka nchi jirani badala yakuchukua watu ambao wapo hapa hapa nchini, nanukuu "hivi inakuwaje kuchukua bidhaa kutoka nje wakati zinapatikana hapa hapa nchini? " aliongea kijana mmoja aliyekuwa ndani ya basi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment