Waziri wa Afrika mashariki mh.Harrison Mwakyembe amesema anamshangaa sana ndugu Edwards Lowassa pale aliposema iliyokuwa kamati ya Richmond ilimuonea na ililenga nafasi yake ya Waziri mkuu pia kamati hiyo ilikuwa yangu Harrison Mwakyembe pamoja na mh.Samwel Sitta jamani.
Lowassa aache kuchekesha watanzania kama anaona hatendewi haki nasubilia siku ya jumamosi Arusha aseme kama alivyosema jana, na mimi nitasema ukweli na yale yote ambayo sikuyasema kwa kulinda heshima yake.
Nafamilia yake ukweli nitauweka wazi mezani watanzania ndio watajua mh.Edward Lowassa hafai kwa kila anachokisema na msubili, alisema Harrison Mwakyembe.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment