Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAMBO FURANI YA KUFAHAMU KUTOKA KWA MESSI NA RONALDO

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Upinzani kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuhusu nani bora zaidi ya mwenzake huwa ni mgumu kutupatia majibu yaliosahihi kwa maoni ya watu hususani ukihusisha mashabiki wa pande zote mbili,
 lionel_messi_vs_cristiano_ronaldo
hata zile tuzo zinazotolewa za mchezaji bora wa dunia (Ballon D’or) huwa hazitoshi kuwaridhisha mashabiki wa upande mmoja kuwa kwa mwaka huu flani ni bora zaidi ya mwenzie.
6057156223960338_20779271aa1c14ea9a0610f309660daf5c8c2c6a80e1f69f27ed706f81fe23ef_largeSasa wataalamu wa mambo wamejichunguzia na kugundua kwamba Ronaldo kazaliwa February 5 1985 na Lionel Messi amezaliwa June 24 1987 ikiwa ni tofauti ya miaka miwili na miezi kadhaa tofauti hiyo ukiibadili kwa siku Ronaldo kamzidi Messi siku 869.
tumblr_nbsq17lud31rm96xko3_250Messi ana mtoto anaitwa Thiago na wa Cristiano ni Cristiano Ronaldo Jr cha kushangaza hapa ni tofauti ya siku iliyopo kati ya Thiago na Ronaldo Jr, mtoto wa Ronaldo ni mkubwa kwa Thiago na amempita kwa siku 869, hii ni sawa kabisa na tofauti iliopo kati ya Messi na Ronaldo

87d47013aa807fe6f5b64d4fa951a5ae

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top