Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
ENEO LA 2,000 SQM LINAUZWA ENEO LA KIMARA STOP OVER
Eneo lenye ukubwa wa 2,000 sqm linauzwa, eneo hilo lipo nje ya mita 100 zilizopimwa na serikali kwenye barabara ya mtaa wa kuingilia Stop over kwenda Suka, eneo hili tayari limesha wekewa Bicon na nyaraka zote muhimu zipo isipokuwa bado hati ndiyo bado haiachukuliwa wizarani.
Pia barabara ya kuingilia kwenye eneo hilo ni ya lami tupu. Eneo hilo linafaa kwa matumizi yote. Kumbuka eneo hili liko Mbezi kimara stop over. Bei yake ni 68Millions pia maongezi yapo kwa munyekuitaji serious. Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment