Katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 25 mwezi wa October 2015, mhe.Edward Lowassa amekutana na makundi mbalimbali ya wajasiriamali pamoja na kundi la watu wenye ulemevu katika uwanja wa Samada jijini dar es salaam kwa lengo la kusikiliza kero zao.
Huku akisema endapo atachaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yeye pamoja na team yake wamejipanga kikamilifu kuakikisha wanatatua kero zote za wananchi ambazo serikali ya ccm imeshindwa kuzitatua kwa kipindi cha mda wa miaka 50 ya Uhuru.
Huku kilio cha wajasiriamali hao kikilenga kwenye elimu, mitaji ya kukuza biashara zao pamoja na miundombinu bora inayoendana na mabadiriko ya maisha ya sasa tunayoyaishi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment