Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Ni mkutano wa wanawake wa ukawa na mh lowasa hapa jengo la millenium TOWER Dar es salaam,hizi ni picha za awali,hizi ni picha za awali ambazo nimekuwekea hapa kutoka katika mkutano huo.
LOWASA bado hajawasili hapa ila idadi ya wanawake waliojitokeza hapa ni wengi sana kiasi cha kutokutosha katika jengo hili na sasa watu wanasubiri hatma yao kama watahamisha mkutano au italazimu wengine kuwa wapole na kusubiri nje kidogo.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment