Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
MAJENGO YA NURSERY SCHOOL YANAUZWA VIKINDU/NURSERY SCHOOL BULDING FOR SALE
eneo linalouzwa ni ilo lililozungushiwa kwenye alama
Majengo ya Nursery school yanauzwa, majengo haya shule hii yapo eneo la Chanungu Vikindu mkoa wa Pwani,
Huu ni ukuta wa Nursary yetu hii tunayoiuza kwa upande wa mbele wa jengo.
majengo haya yanawastani wa madarasa saba 7, pamoja na offices 10.
Hii ni sehemu ya offices za waalimu, ambapo plani ya hapa ni kujenga kama gh'olofa, ili Office ya mkurugenzi iwe juu ya office za waalimu.
Muonekano wa karibu wa majengo ya shule hii, ila majengo yenye bati za blue sio yakwetu, izo ni nyumba za majirani wetu.
Pia majengo ya shule hii yapo ndani ya eneo la hekari 1 ikiwa ni umbali
wa 1km kutoka barabara kuu mpaka kufika shuleni hapo, Pia eneo la
michezo kwa watoto lipo.
Muonekano wa shule hii kwa upande wa nyuma.
majengo hayo yanauzwa kwa bei ya Tsh.
60millions, pia maongezi yapo kama uko serious kununua.
Picha mchanganyiko zikionyesha sehemu mbalimbali za shule hii ya Nursery.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment