Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MZOZO WA VIFO VYA WATU 760 WAZIDI KUPAMBA MOTO

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Kiongozi wa kidini wa Iran , Ayatollah Khamenei, ameitaka Saudi Arabia kuomba msamaha, kufuatia mauwaji ya msongamano wa mahujaji huko Mecca siku ya Alhamisi ambapo zaidi ya watu 760 walifariki.

Taarifa hiyo iliyowekwa kwenye mtandao wa kiongozi huyo wa kidini, inasema kuwa jamii ya kiislamu wana maswali chungu nzima,badala ya kulaumu wengine.

Zaidi ya raia 130 wa Iran walikuwa miongoni mwa waliofariki
''utawala wa Saudia unafaa kukubali makosa na kuomba msamaha kwa jamaa ya waliuwawa au kujeruhiwa'' ilisema taarifa hiyo.

Viongozi wa Iran wameelezea hasira zao kuhusiana na janga hilo huku wakiilaumu Saudi Arabia kwa kuongoza vibaya maeneo takatifu

Saudi Arabia tayari imekatalia mbali ukosoaji kutoka kwa Iran kuhusiana na janga hilo na kuilaumu kwa kuingiza siasa katika mkasa huo mmbaya kuwahi kutokea kwa kipindi cha miaka 25 iliyopita.

Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Saudia, Adel al-Jubeir, ameishutumu Iran kwa kujaribu kuleta siasa katika mkasa huo uliwakumba watu ambao walikuwa wakitekeleza nguzo muhimu ya kidini.

Eneo kulikotokea maafa ya Mina
Viongozi wa Iran wameelezea hasira zao kuhusiana na janga hilo huku wakiilaumu Saudi Arabia kwa kuongoza vibaya maeneo takatifu ya ibada kwa waislamu.
Zaidi ya raia 130 wa Iran walikuwa miongoni mwa waliofariki.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top