Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

RAIS KIKWETE AWASHANGAA CHADEMA, SOMA ZAIDI HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea nae mikoani.

 
Kikwete aliyasema hayo jana wakati akiwaaga wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika nakumtaka Lissu mwenyewe kumtaja mwenye Richmond.

''Endapo Lissu atashindwa kumtaja mwenye Richmond nitatoka hadharani na kumtaja mwenyewe,'' alisema Kikwete.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top