Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwatangazia wateja wake
walioungwa kwenye gridi ya taifa kote nchini kuwa majaribio ya Mtambo wa
kufua umeme wa Kinyerezi 1 megawati 150 yanaendelea vizuri na sasa tupo
kwenye hatua za mwisho za kuwasha mtambo huo.
Habari njema ni kwamba, gesi kutoka Mtwara imesukumwa na tayari imeshafika Kinyerezi Dar es Salaam. -Kazi ya kuunga bomba kubwa la gesi hiyo kwenye mitambo ya kufua umeme kwa gesi iliyopo Ubungo, itafanyika kuanzia Septemba 07 hadi Septemba 14, 2015.

Kazi hiyo italazimu kuzima mitambo ya kufua umeme kwa gesi iliyopo
Ubungo jijini Dar es Salaam na hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme kwa
baadhi ya mikoa iliyoungwa kwenye gridi ya taifa.
Tunatarajia baada ya kazi hiyo kukamilika, umeme utaanza kurejea kwenye hali ya kawaida.
Uongozi unaendelea kuomba radhi wateja wake kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza.-
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.

Post a Comment