Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MIGOMO YA MADREVA IMALIZIKE ASEMA KIKWETE

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Saturday , 3rd Oct , 2015. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amezitaka mamlaka husika zinazohusiana na Usafiri wa barabara kukaa ili kuweza kutatua changamoto zinazowakabili madereva ikiwemo kupata mitakaba ya kudumu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete
Akiongea na madereva katika mkutano waliotumia kumuaga Rais Kikwete amesema kuwa matatizo mengi ya madereva hao yanasababishwa na watendaji waliopewa dhamana ya kuleta maendeleo na usimamizi bora katika sekta hiyo ya usafiri.

Dkt. Kikwete amewataka viongozi wa Sumatra, Wizara ya kazi pamoja na vyama vya madereva pamoja na waajiri kukutana kutoka na maazimio ambayo yatakuwa ni muafaka kwa kila mmoja wao.

Kabla ya mkutano huo Rais Kikwete alizindua jengo la wazazi na watoto katika hospital ya CCBRT Dkt. Kikwete ambapo amesema vifo vitokanavyo na mama kujifungua hapa nchini sasa vimepungua kutokana na idadi ya akina mama wanaojifungulia katika vituo vya afya kuongezeka.

Kwa upande waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini Dkt. Seif Rashid amesema takwimu zinaonesha kwamba zaidi ya wakina mama wajawazito laki 5 wanajifungulia kwenye vituo vya afya tofauti na miaka iliyopita.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top