Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, pamoja na majukumu yake ya
msingi, inayo pia jukumu la kuhakikisha ukuaji wa demokrasia unakuwepo
kulingana na sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa kikatiba. Ukuaji
wa demokrasia hauwezi kuwepo kama wananchi ambao ndio wafuasi wa vyama
vya siasa wanakuwa na uelewa mdogo juu ya ushiriki wao kwenye siasa
za kistarabu na zenye staha.
Wakuu,
Wakuu,
Leo Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi, leo
ameitisha mkutano na waandishi wa habari asubuhi ya leo kutambulisha
kampeni ya amani iitwayo "Amani Yetu Fahari Yetu".
Mkutano huu unafanyika hapa katika Ofisi ya Msajili wa Vyama, Pia nitawaletea kile kinachoendelea moja kwa moja hadi atakapomaliza kuzungumza.
Mkutano huu unafanyika hapa katika Ofisi ya Msajili wa Vyama, Pia nitawaletea kile kinachoendelea moja kwa moja hadi atakapomaliza kuzungumza.
Anaanza kuongea, anasema Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini
pamoja na majukumu mengine yake ya msingi, inayo pia jukumu la
kuhakikisha ukuaji wa demokrasia unakuwepo kulingana na sheria.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment