Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KAMA UNATAFUTA ENEO KUBWA KUANZIA HEKARI 2 HADI 70, BOFYA HAPA SASA WAKATI NI WAKO

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

1. Eneo la hekari 17, ndani ya eneo hili kuna Nyumba kubwa 1, miembe ya kisasa, migomba, na eneo hili lote limezungushiwa fensi ya senyenge. Liko kitongoji cha Cheta ikiwa ni 6km kutoka vikindu getini na liko jirani na barabara. Bei yake ni 120millions tu.

Kiukweli ukilikosa eneo hili jua kabisa utakuwa umekosa eneo zuri sana ndugu yangu, karibu sana japo kwa kuona tu mazingira jinsi yalivyo

2. Pia kuna eneo lingine ambalo lina jumla ya hekari 10 liko hatua kadhaa hivi kutokea kwenye eneo la hekari 17, pale linauza kwa kila hekari 1 ni Tsh 5 millions.

Nyumba hii ndiyo iliyopo kwenye eneo la hekari 17 nililo litaja hapo juu likiwa No 1.

3. Na eneo la mwisho kabisa kwa siku ya leo ni eneo la hekari 70 ambalo linauzwa kwa Tsh 420millions, ila kama unataka kuanzia hekari 2 na kuendelea unapimiwa bila shida.

4. Pia pale Ikwete vikindu kwa mbele kidogo kuna eneo la hekari 2 linauzwa Tsh180millions,  na lingine ni hekari 3 hili linauzwa Tsh 350million  maeneo haya yote yamepimwa na yana nyaraka zote.

Maeneo yote haya yanapatikana kwenye kitongoji cha Cheta, kata ya Vikindu wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani
Tuwasiliane kupitia Tigo: 0659 91 9292

VIWANJA VINGINE PAMOJA NA NYUMBA
              {{BONYEZA HAPA}}


Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top