Mbali ya mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar-es-Salaam, siku ya tarehe 11/2/2016 kidogo abiria waliokuwa wakitumia kivuko kinachofanya kazi zake kati ya feri na kigamboni kutaka kuzama. Tazama picha.
Hapa kivuko kikiwa kinainua sehemu iliyokuwa tayari imeanza kuzama.
Hapa abilia wakijaribu kujinusuru baada ya kuona kivuko kinaendelea kuzama kwa upande mmoja.
Nazifuatazo hapo juu ni baadhi tu ya picha zinazo onesha jinsi tukio lilivyokuwa.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment