Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

RUVUMA PAMOJA NA MIKOA MINGINE KUNUFAIKA NA SEKTA YA AFYA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Serikali kusambaza madaktari bingwa maeneo ya pembezoni ikiwemo mkoa wa Ruvuma.

Serikali kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia na watoto imesema itaanza kusambaza madaktari bingwa maeneo ya pembezoni ukiwemo mkoa wa Ruvuma kuanzia mwezi julai mwaka huu ili kuwaondolea wananchi adha ya kufuata huduma za madaktari bingwa mbali na maeneo yao.

Kauli hiyo ya serikali imetolewa na naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii jinsia na watoto mjini Songea, Dkt Hamis Kigwangala baadaya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma na kituo cha afya cha Mjimwema kilichopo mjini Songea huku akiitaka mikoa ya pembezoni ukiwemo mkoa wa Ruvuma kuweka mazingira ya kuwavutia madaktari bingwa kufanya kazi katika mikoa yao.

Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw. Said  Mwambungu amesema kuwa mkoa huo umeridhishwa na staili ya ziara ya kushtukiza na kwamba wanajitahidi kuboresha vituo vya afya vya Mjimwema Songea, Madaba na cha wilaya ya Namtumbo ili vipandishwe hadhi kuwa hospitali za wilaya.

Katika hatua nyingine Dkt Kigwangala ametoa miezi mitatu kwa hospitali ya Kibena mkoani Njombe kurekebisha mapungufu yaliyopo ikwepo maabala vinginevyo ataifunga  hospitali hiyo.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top