Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

SHETTA MATATANI KWA MKONGWE WAKE DUDUBAYA. ZAIDI BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Dudubaya alisema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo na kusema kuwa Shetta kwake ni kama mjukuu tu kwani yeye alianza kutoka wakati muziki wanarekodi kwa shilingi elfu kumi kwa hiyo baada ya hapo walikuwa wanamuziki kama kina Stara Thomas, Lady Jaydee,baadae wakaja wakina Marlaw,Bushoke, Matonya na wengine baadae sana ndio wanakuja wao hivyo kwake ni kama mjukuu.

"Imeniudhi sanaa Shetta kutumia jina langu la 'Mamba' hawezi kujiita Mamba wakati mimi jina langu toka 2007, hawa watoto sometimes wanakosa adabu, sitaki atumie jina langu na akiendelea kutumia hilo jina asinirudishe kwenye enzi za Mr Nice, Nitamfanya zaidi ya Mr Nice" Alisema Dudubaya.

Lakini Dudubaya aliendelea kusema kuwa amechukua jitihada za kumpigia simu Shetta lakini hajafanikiwa kumpata kwenye simu lakini alikuwa anataka kumueleza kuwa akome kutumia jina lake, na kusema kuwa kwanza yeye Shetta hafai kujiita Mamba labda ajiite Kenge.

"Mamba ni jina langu mimi na ndio maana biashara zangu hata nikifungua Pub inaitwa Mambaz, nikifungua chochote kinaitwa mamba hivyo hawezi yeye kujiita mamba, kwanza umbo lake lenyewe siyo mamba yule ni Kenge, suala la mimi kukaa kimya kwenye muziki nina shughuli zingine za kufanya ila ni jina langu mimi, huwezi leo DMX au Jarule amekaa kimyaa kwenye muziki wewe unaibuka unajiita Jarule utakuwa bumbuwazi" Alisema Dudubaya

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top