Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Mwenye ndugu jamaa au rafiki anaekaa Gongo La Mboto na anafanya kazi ubungo au alikuwa akielekea ubungo alfajiri ya leo... amtafute huyo ndugu jamaa au rafiki yake kujua kama ni mzima au laa.
maana kuna ajali imetokea matumbi ikihusisha daladala(DCM) la G/Mboto-Ubungo na Lori la Mizigo pamoja na Lori lililokuwa limebeba ng’ombe.
kweny DCM waliopona ni watu wasiofika watano... yale malori mengine hajatoka mtu hata mmoja... mbaya ni kwamba DCM lilikuwa limejaza abiria mpaka wengine wakasimama.
Ajari ni mbaya sana mpaka nimeshindwa kupiga picha maana DCM lilivyofanywa si rahisi kulitazama kwa mda mrefu.
Ajali imetokea pale kabla hujafika Tabata Matumbi Pale Darajani
R.I.P Wote Waliofariki.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Filed Under:
MATUKIO
on Tuesday, March 8, 2016
Post a Comment