Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU VIKAO VYA NDANI VYA VYAMA VYOTE VYA SIASA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Jeshi la Polisi lapiga marufuku vikao vyote vya ndani vya vyama vya siasa. Marufuku hii ni kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini. Kauli ya marufuku inasema ifuatavyo:

"Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo jeshi la polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia".

                            UPDATES:

Kamishna Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Nsato Marijan asema tukio la mauaji ya Askari 4 Mbande jana usiku linahusishwa na UKUTA.

Ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa kwenye majukwaa wamekuwa wakiwataka wafuasi wao kuwashambuliao Maafisa wa Jeshi la Polisi.

Aidha, amekiri kuwa mazoezi yanayofanywa na Jeshi la Polisi ni kukabiliana na UKUTA na mikutano au vikao vyenye marengo ya kichochezi.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top