Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAHAKAMA KUU YA ZIMBABWE YA RUHUSU MAANDAMANO YA WAPINZANI, ZAIDI BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Mahakama ya kuu nchini Zimbabwe imeamua kuwa maandamano ya makundi ya upinzani yanaweza kuendelea hii leo, kuanzia saa sita mchana.

Jana polisi walionya kuwa maandamano yoyote ambayo hayajaidhinishwa hayatakubalika.

Polisi kikosi cha kutuliza ghasia tayari wametumia gesi za kutoa machozi dhidi ya makundi madogo ya watu waliokuwa wakijiandaa kwa maandamano.

Maandamano ya leo yameandaliwa na makundi kadhaa ya upinzani yaliyo katika muungano unaojiita NERA - unaodai mageuzi ya sheria za uchaguzi - wanaosema wanataka kufana maandamano ya amani kutoa wito wa kufanya mabadiliko ya sheria ya uchaguzi.

Zimbabwe imekua ikishuhudia maandamano makundi makubwa ya umma katika kipindi cha miezi kadhaa, zaidi yakielezea kutoridhishwa na hali ya uchumi wa nchi yao uliodidimia.

Chama kikuu cha upinzani cha MDC na upinzani mpya unaoongozwa na makamu rais wa zamani Joice Mujuru wa chama cha Zimbabwe People First,ni miongoni mwa makundi yanayoshiriki maandamano ya leo.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top