Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KUTOKA DAR: Mabasi ya mwendokasi sasa yanatakiwa mjini Dodoma, zaidi ingia hapa.

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Mbunge wa Kilolo mkoani Iringa, Venance Mwamoto ameishauri Serikali kuweka mpango wa kujenga njia za mabasi hayo ya mwendo kasi ili kuepuka msongamano unaoweza kutokea baada ya Serikali kuhamia mkoani Dodoma.

Dar es Salaam. Baada ya kuanza kwa mafanikio kutoa huduma za usafiri katikati ya Jiji la Dar es Salaam, mabasi ya mwendokasi sasa yanatakiwa yatue mjini Dodoma.

Mbunge wa Kilolo mkoani Iringa, Venance Mwamoto ameishauri Serikali kuweka mpango wa kujenga njia za mabasi hayo ili kuepuka msongamano unaoweza kutokea baada ya Serikali kuhamia.

Mwamoto amesema tangu Serikali itangaze kuhamia Dodoma kumekuwa na ongezeko la watu wanaohitaji maandalizi ya huduma mbalimbali.

“Serikali isisubiri Dodoma iwe kama Dar es Salaam ili tuanze kuhangaika, mabasi ya mwendokasi yatasaidia ujenzi wa uchumi kwa kasi kwa sababu watu hawatatumia muda mrefu barabarani kama ilivyo kwa Dar es Salaam, hasa maeneo yasiyo na usafiri huo,” amesisitiza.

Akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (LAAC) walipotembelea mradi huo hivi karibuni, Mkurugenzi Mtendaji wa Dart, Ronald Rwakatare alisema hivi sasa wapo kwenye mkakati wa kuendelea na ujenzi wa barabara za  mwendokasi awamu ya pili jijini Dar es Salaam.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top