Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Rais Magufuli afuta Agizo la Kufunga Ndoa kwa Sharti la kuwa na Vyeti vya Kuzaliwa.

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Mbali ya maelezo mengi aliyoyatoa Mhe.Rais pia amesema kuwa vyeti vya kuzaliwa vilianza kutolewa baada ya nchi yetu kupata uhuru.

Pia ameeleza kuwa mpaka sasa watanzania wenye vyeti vya kuzaliwa hawafiki asilimia 20%

Kwaiyo hatuwezi kuwa na sheria ya kuwabagua watanzania

Pia akaongeza kusema kwamba kuna aja ya wanasheria wetu kuangalia upya sheria ya vizazi na vifo pamoja na sheria ya ndoa. Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top