Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ENDELEENI NA MSIMAMO WENU MPAKA KIELEWEKE BURUNDI

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Mbali ya kupingwa kwa habari ya jana iliyokuwa ikisema Raisi wa Burundi Pierre  Nkurunziza amepinduliwa. Kiongozi wa Mapinduzi ya kijeshi Meja Jenerali Godefroid Niyombare  alitoa taarifa hizo kupitia kituo cha radio kiitwacho Isanganiro radio akisema serikali ya Nkurunziza imevunjwa.

Alisema kuwa wananchi wa Burundi wamekuwa wakipinga vikali hatua yake ya kuwania muhula wa tatu. Jenerali huyo alifukuzwa kazi nchini buruundi kama mkuu wa ujasusi mwezi February.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza sana wana Burundi wote kwa msimamo wao walioweza kuusimamia toka mwanzo mpaka sasa, pia nitoe wito kwa watu wote kwamba hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, wananchi wakiamua kufanya jambo linawezekana kabisa.

Tukumbuke kuwa huwezi kuwaongoza watu kama hawakutaki, kwaiyo ushauri kwa Pierre Nkurunziza nikwamba akubali kuachia ngazi ili atawale Kiongozi ambeye wana Burundi wanamtaka kuliko kug'ang'ania nafasi iyo huku raia wakiendelea kupoteza maisha yao.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top