Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HII NDIO STORY KUHUSU MGAHAWA UNAOUZA NYAMA YA WATU

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Kuna stori kutoka Nigeria kwenye mji wa Anambra ambapo Mgawaha mmoja umedaiwa kuwauzia wateja wao nyama za binadamu tena kwa bei kubwa tofauti na bei nyingine.

Inasemekana Polisi walipewa taarifa hizo na kuamua kufanya uchunguzi na ndipo walipovamia mgahawa huo na kukuta vichwa viwili vya binadamu vikiwa ndani ya mfuko na tayari vimekatwa.
Kila jamii ina tamaduni zao katika ulaji wa vyakula na kuna nchi za wenzetu ulaji wa nyama ya mbwa, panya si kitu kigeni kwao na hutumia kama kitoweo kila siku lakini kwa wengine huona ni jambo la ajabu na haramu kwao kutumia.

Mmoja wa watu waliopokea kwa mshtuko mkubwa taarifa hizo ni mchungaji mmoja ambaye aligundua amekula nyama isiyo  ya kawaida na kuwa wa kwanza kuwataarifu Polisi ambao walifika na kubaini kuwepo kwa uuzaji huo.

Kwa sasa mgahawa huo umefungwa na wahusika 11 wanashikiliwa na Polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top