Ikiwa ni wiki mbili zilizopita tangu kuisha kwa mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar es salaam pamoja na maeneo mengine yaliyopo mikoa mbalimbali ya nchi hii ya Tanzania.
Kwaiyo basi leo napenda kuchukua nafasi hii kuwatahadhalisha watanzania wote kwa ujumla kwamba kama wewe umekuwa ni moja wa wahanga wa mafuriko yaliyotokana na mvua zilizonyesha miaka ya nyuma hadi leo
Basi nakuomba uchukue hatua madhubuti kwa kuama eneo ulilokuwa ukiishi tangu miaka iyo mpaka mwaka huu kwa kutafuta eneo safi ata kama liko nje ya mji rakini lisiwe na matatizo iyo ndiyo itakuwa suruisho kwako.
Kiukweli siojambojema kilakitu kuitupia rawama serikali maana inafika mda mwingine unaona kabisa chanzo cha matatizo yanasababishwa na sisi wananchi wenyewe.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment