Ndugu zangu ukisikia mambo ya kuchekesha jua kabisa story hii ni mojawapo kati ya story zenye kuchekesha.
Juzi siku ya jumamosi nikiwa mitaa ya postampya jijini Dar es salaam nilibahatika kukutana na police jamii au kwa jina lingine kamatakamata akiwa amemkamata mwenesha bodaboda.
Kitendo cha kukamatwa kijana huyo mwendesha pikipiki aliulizwa na police je unakibari cha kuingiza pikipiki yako mjini? Yule kijana akamjibu ndio kibali ninacho, ikabidi amuoneshe kibali chenyewe.
Baada ya kujiridhisha na majibu ya yule kijana mwendesha pikipiki ndipo polisi jamii huyo au kamatakamata alimuuliza kijana yule kwamba kwanini unaendesha pikipiki ukiwa umevaa marapa mjini?? Ikabidi watu wote tuliokuwa kwenye eneo la tukio tucheke kiukweli.
Kwaiyo kijana yule akawa amebaki na kosa la kuvaa marapa mjini wakati akiendesha pikipiki
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment