Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Babati mkoani Manyara wakiongozwa na Meneja Uendeshaji na Huduma kwa wateja wa benki hiyo tawi la Babati Bw. John Ndyebonera (Wa pili kulia)
kwa pamoja wakishuhudia mmoja wa washiriki wa maonyesho ya 18 ya wiki ya maziwayaliyofanyika kitaifa wilayani Babati (wa kwanza kulia) akisaini kitabu cha wageni waliotembelea banda la maonyesho ya benki hiyo ambayo pia ilishiriki maonyesho hayo kwa mafanikio makubwa.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment